0
90% Huenda mshiriki kutoka Tanzania
anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother hotshots’ , Idris Sultan akaibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo.

Tangu asubuhi Runinga ya DStv kupitia Channel 197 na 198 inayoonyesha moja washiriki 8 waliobakia katika mjengo huo, huku kamera ikimmulika zaidi Idris mara kwa mara jambo linaloashiria huenda Watanzania tukacheka kwa
ushindi mnono hapo baadaye.

Fainali za Big Brother ‘hotshots’ zinategemewa kuanza leo saa 2:00 Usiku huku Idris akiwaongoza wenzake saba ambao ni Tayo
(Nigeria), JJ (Zimbabwe), Nhlanha (Afrika Kusini), Sipe (Malawi), Butterfly (Zimbabwe), Ma mam bea (Ghana) pamoja na Macky2 wa Zambia.

Chapisha Maoni

 
Top