0
 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za mitaa.
 Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia kuwa yeye ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali ikiwamo kufilisiwa.
 Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia kuwa yeye ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali ikiwamo kufilisiwa.
 Mwigulu Nchemba akiwaelezea Wananchi athari za kushindanisha Vyma kwenye chaguzi bila kuzingatia Ubora wa Viongozi wanaowasimamisha,Wakati huu wa kuelekea Kipato cha kati tushindanishe Viongozi kwa Maendeleo wanayotuletea na sio Vyama.,


Chapisha Maoni

 
Top