0
 Wazazi wa Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa wakiongozwa na Baba yake (wa Tatu Kutoka Kushoto) Pamoja na Mama yake (wa Tatu Kutoka Kulia) wakiwa wameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki

Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika
Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri
Mchana wa Leo Kuelekea Jijini London
Kwenye Kilele cha Mashindano ya Miss
World 2O14 Yakakayohitimishwa Tarehe
14.12.2O14 Ambapo Mtoto wao Miss
Tanzania 2013 Happiness Watimanywa
Anaiwakilisha Tanzania.

 Wazazi Hao wa Miss Tanzania 2O13
Happiness Watimanywa Wamewaomba
Watanzania Kumwombea NA Kuendelea Kumpigia Kura Miss Tanzania 2013 Katika Mashindano Hayo Ili Aweze Kuiwakilisha Tanzania Vema na Kuibuka
Mshindi.Ikumbukwe Mpaka Juzi Miss
Tanzania 2013 Happiness Watimanywa
Kura za Watanzania Zilimuwesha Kuingia Kumi Bora.

Chapisha Maoni

 
Top