0
KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa
tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu.

Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili
ya kutumbuiza mwaka jana.

Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu
Waliarwanda Lema.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top