Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akikaribishwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa shada la maua kutoka kwa mtumishi
wa Wizara Bi. Christina Jenga leo (Jumatano, Januari 7, 2015) jijini Dar es Salaam huku Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maimuna Tarishi akishuhudia.
Bw. Masaju alifika Wizarani kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais Jakaya Kikwete ili kubadilishana mawazo na viongozi na watumishi wa Wizara.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro leo (Jumatano, Januari 7, 2015) wakati alipofika
Wizarani kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais jakaya Kikwete hivi karibuni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akipokewa na watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo (Jumatano, Januari 7, 2015) wakati
alipofika Wizarani hapo kukutana na viongozi na watumishi ili kubadilishana mawazo.

Chapisha Maoni