Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteakimuapisha Msajili wa Mahakama ya
Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteakimkabidhi muongozo wa kazi Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro).
Chapisha Maoni