Ufaransa waliibugiza Iceland kwa bao 5-2 katika mchezo wa robo faianali ya mwisho hatua ya robo faianali.
Mshambuliaji anayeichezea Arsenal ya
England Olivier Giroud alifunga bao 2,
Huku Griezman, Payet na Paul Pogba wote
hao wakifunga bao 1 kila mmoja.
Kwa matokeo hayo Sasa Ufaransa
itakutana na Ujerumani alhamis katika
moja kati ya nusu fainali za michuano hiyo
ambapo Jumapili ndiyo fainali yenyewe.
Chapisha Maoni