0
Yanga SC itawakosa beki Mwinyi Hajji Mngwali, viungo Deus Kaseke na Geoffrey Mwashiuya katika
mchezo dhidi ya Medeama SC kutokana na kuwa majeruhi.
Amiss Tambwe hakuweza shiriki mazoezi ya leo
anasumbuliwa na Maralia, Matheo Saimon Anthony
ameumia mazoezini!ukubwa wa tatizo lake
haikuweza julikana hadi pale daktari atakapotoa
ripoti.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top