0
Jose Mourinho na Pep Guardiola ni
wapinzani kweli na wamekuwa wakikutana wakiwa katika timu mbalimbali za nchi tofauti.
Leo ilikuwa kazi ngumu ya Man City
inayonolewa na Guardiola dhidi ya Man
United chini ya Mourinho, mwisho ni sare ya bila kufungana.
Rekodi zinaonyesha Guardiola kashinda
mechi nyingi zaidi ya Mourinho katika
mechi walizokutana.

REKODI:
Mourinho kashinda: 4
Guardiola kashinda: 8
Sare: 7

Chapisha Maoni

 
Top