0
Klabu ya Dar Young Africans ya Jijini Dar es Salaam Jumatano Hii imemtambulisha mchezaji mpya Abdallah Haji Shaibu 'Ninja' kutoka timu ya Taifa Jang'ombe inayoshiriki ligi Kuu ya Visiwani Zanzibar.
Mchezaji huyo ambaye anacheza nafasi zote za Ulinzi hasa Ulinzi wa kati ametambulishwa Mchana mbele ya Katibu Mkuu Charles Boniface Mkwasa, katika Ofisi za Klabu ya Yanga zilizopo maeneo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani.
Mchezaji Huyo mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili na alioneka katika michuano ya SportPesa Super Cup alipokuwa akiichezea timu ya Taifa Jang'ombe dhidi ya Gor Mahia Ya Kenya.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top