0
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kusitisha harakatinza kumnasa mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Gruezmann.
Badala yake kocha Jose Mourinho ameamua kumfungia kazi Romelu Lukaku wa Everton pamoja na Andrea Belotti na Alvaro Morata.
Mpango wa kumnasa Griezmann unaonekana kufeli baada ya Atletico kupoteza rufaa yao ya kupinga kuzuia kusajili kufuatia kukiuka masharti ya uhamisho wa chipukizi walio chini ya umri wa maka 18.

Chapisha Maoni

 
Top