0
Mchezaji wa Colombia, Teofilo Gutierrez
(nyuma) akipiga kichwa kuifungia timu yake bao la ushindi Uwanja wa Craven Cottage jana katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Marekani kwenye mchezo wa kirafiki. 

Jozy Altidore aliifungia Marekani bao la kuongoza kwa penalti dakika ya 10 kabla ya Carlos Bacca kuisawazishia
Colombia kipindi cha pili.

Chapisha Maoni

 
Top