
Mabao mengine yamefungwa na Mario Gotze na moja wapinzani walijifunga. Ujerumani sasa inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi ya nne na
kubaki nafasi ya pili, nyuma ya Poland yenye pointi 10.
Scotland na Jamhuri ya Ireland nazo
zina pointi saba kila moja katika kundi hilo, baada ya mechi nne, wakati Georgia ina pointi tatu na Gibraltar inashika mkia haina pointi.
Chapisha Maoni