
hata siku moja.
Akiongea na Gpl, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo akishahakikisha huyo mwanaume ni mzima huwa
ahangaiki kutumia kinga.
“Japokuwa nawapanga wanaume lakini najali sana afya yangu yaani kila baada ya miezi mitatu huwa naenda kupima kabla sijaingia naye kwenye
uhusiano, nikikuta yuko fresh tunaendelea na mapenzi yetu na huwa situmii kinga kwa sababu nakuwa nimeshajua afya yake.
"Ikitokea amenizingua nampiga chini namchukua mwingine naenda kumpima hivyohivyo maisha yanasonga mbele,” alisema Baby Madaha.
Chapisha Maoni