0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akimwapisha George Mcheche, kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini
nyaraka wakati wa hafla fupi ya
kumwapisha, George Mcheche, kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye
hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akimkabidhi nyaraka za Serikali, George
Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.

Chapisha Maoni

 
Top