0
Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio
Berlusconi aliamua kuiuza klabu ya Ac
Milan ambayo amekuwa akiimiliki tangu
mwaka 1986!
Wakati wa utawala wa Berlusconi, klabu
ya AC Milan imeshinda mataji 8 ya ligi
na 5 ya Ulaya lakini taji la mwisho la
Ulaya walishinda miaka 9 Iliyopita na
kwa takribani miaka 5 sasa hawajashinda
taji.
Hii inakuwa ni moja ya sababu
iliyomfanya Berlusconi kukubali kuiuza
Milan kwa wawekezaji kutoka China!

Chapisha Maoni

 
Top