Baghdad.
Watu wengine 130 wamejeruhiwa vibaya katika mashambulizi hayo yaliyodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic
State.
Kundi la Islamic State lilidai kuhusika kwenye shambulizi hilo ambapo bomu lililokuwa limetegwa
ndani ya gari lililipuka karibu na mkahawa katika wilaya ya Karada na kuwaua takriban watu 6.
Zaidi ya watu 20 na walijeruhiwa.
Bomu la pili lililipuka baadaye kaskazini mwa mjw wa Baghdad.
Milipuko hiyo inatokea wiki moja baada ya
wanajeshi wa Iraq kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa Islamic State.
BBC
Chapisha Maoni