0
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema mshambuliaji Mwitaliano Mario Balotelli anafaa
kutafuta klabu mpya.
Balotelli, 25, alikaa AC Milan kwa mkopo msimu uliopita lakini amerejea Liverpool kwa mazoezi ya kabla ya msimu.
Balotelli asema hataki kurejea Liverpool
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City amefungia Liverpool mabao manne tangu ajiunge
nao 2014.
“Hayumo katika kiwango cha uchezaji ambapo anafaa kuwa akishindania nafasi moja au mbili na
wachezaji wane au watano,” amesema Klopp.
“Kwa hivyo, ni wazi kwamba tunahitaji suluhu. Kutakuwa na klabu ambayo itakuwa na furaha
kuwa na Mario Balotelli mpya."

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top