
Jeshi la Korea kaskazini limesema mfumo huo wa hali ya juu unatoka Marekani.
Limesema litachukua hatua punde litakapo fahamu wakati na sehemu ambapo makombora hayo
yatatumwa.
Maafisa Korea kusini watadhibitisha katika wiki kadhaa sehemu ambapo makombora hayo
yatatumwa.
BBC
Chapisha Maoni