klabu ya Lazio ni kama ameziweka roho
juu klabu za soka za Real Madrid na
Inter Milan baada ya kuomba kuondoka
katika klabu hiyo wakati wa usajili wa
majira haya ya joto. Sky Italia iliripoti
kuwa kitendo cha nyota huyo kuomba
kuondoka na huku akisusa kwenda
mazoezini, ndicho kilichozifanya Real
Madrid, Inter Mila na Juventus kukaa
tayari kwa ajili ya vita ya kumwania
nyota huyo.
Klabu ya soka ya Inter Milan ndiyo
inayoonekana kupewa nafasi kubwa ya
kumpata staa huyo baada ya kushindwa
kumnasa nyota mwingine wa kwenye
timu hiyo, Antonio Candreva.

Chapisha Maoni