Arsenal imepata ushindi wake wa kwanza kwenye
ligi kuu ya Uingereza baada ya kuichapa Watford
mabao 3-1.
Arsenal ilishambulia kwa nguvu kipindi chote cha
kwanza na kufanikiwa kupachika mabao yake
matatu kupitia kwa Cazorla, Sanchez na Ozil.
Bao pekee la Watford lilifungwa Pereyra kwenye
dakika ya 57.
Nayo Chelsea imeendeleza rekodi yake kwa
kushinda michezo yake yote mitatu, leo ikiichapa
Burnley mabao 3-0.
Hazard, Willian na Victor Mosses ndio
waliofanikisha ushindi wa Chelsea siku ya leo.
Matokeo ya michezo iliyopigwa Jumamosi ya Aug
27 ni kama yanavyoonekana hapo chini;
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni