0

Liverpool kwa mara nyingine imeshindwa kupata
ushindi muhimu ugenini kwa Tottenham Hotspurs
baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 licha
kutengeneza nafasi nyingi a kufunga.
Ilikuwa ya kwanza kupachika bao la kuongoza
kupitia kwa James Milner, akifunga mkwaju wa
penati baada ya Erick Lamera kumuangusha
Firmino ndani ya eneo la hatari.
Kipindi cha pili ni Liverpool iliyoonekana kuwa na
makali zaidi hata hivyo ilijikuta ikifungwa bao
kupitia kwa Danny Rose kwenye dakika ya 71.
Liverpool imeendelea kuimarika kadri siku
zinavyokwenda licha ya kutotabilika, lakini kwa
upande wa Spurs ni dhahiri bado haiweza
kuonyesha kile kiwango chao cha msimu uliopita.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top