0

Pamoja na usajili wa nguvu iliyoufanya msimu huu,Simba SC,leo imeshindwa kutamba baada ya kulazimishwa sare ya kutofungana na maafande wa Ruvu JKT katika mchezo mkali wa ligi kuu ya Vodacom uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa taifa,Dar Es Salaam.
Katika mchezo mwingine wa ligi hiyo Azam FC
ikiwa nyumbani Chamazi Complex imeibuka na
ushindi mnono baada ya kuichapa Majimaji ya
Songea kwa jumla ya mabao 3-0.
Mbeya City ikiwa nyumbani Sokoine imefungwa
bao 1-0 na Mwadui FC ya Shinyanga.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top