Chelsea wao wame endeleza wimbi la ushindi kwa
kuinyuka Barnley jumla ya mabao 3-0 magoli hayo yamefungwa na Eden Hazard,Willian na Victor Moses.
MATOKEO MENGINE
Tottenham 1-1 Liverpool
Watford 1-3 Arsenal
Leicester City 1-2 Swansea
Chelsea 3-0 Burnley
Southampton 1-1 Sunderland
Everton 1-0 Stoke
Crystal Palace 1-1 Bournemouth
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni