Gareth Bale, Antoine Griezmann na Cristiano
Ronaldo ndiyo wachezaji pekee waliobakia kwenye
mchujo wa mwisho kabla ya kuwania Tuzo ya
Mchezaji Bora wa Ulaya (UEFA 2015/16) ambapo
mshindi anatarajiwa kutangazwa leo Alhamisi
kwenye droo maalum ya kupanga makundi ya timu
zitakazocheza kuwania kufuzu Ligi ya Mabingwa
(Champions League) droo ambayo itafanyika huko
Monaco.
Wakali hao watatu ndiyo walipata kua nyingi zaidi
kuliko wengine ambao waliingia nao kwenye hatua
ya kumi boa ya kuwania tuzo hiyo.
Messi alichukuwa tuzo hiyo msimu wa 2014/15,
lakini mwaka huu ni zamu ya aidha Bale,
Griezmann au Ronaldo.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni