Klabu ya FC Barcelona imekamilisha usajili wa
mlinda lango namba moja wa Ajax Jasper
Cillessen.
Cillessen amesaini mkataba wa miaka mitano
kuitumikia klabu hiyo ya Catalunya.
Barca imelipa euro mil 13 kumnasa mlinda lango
huyo mwenye umri wa miaka 27.
Jasper amesajiliwa kuziba pengo la Claudio Bravo
anayekamilisha usajili wake klabu ya Manchester
City.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni