0


Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Luis
Suarez ameingia matatami tena baada ya
kukumbana na tuhuma za kumtukana
mwamuzi msaidizi, Damir Skomina.
Suarez anatuhumiwa kumtukukana
mwamuzi huyo wakati wa mechi ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya wakicheza dhidi ya
Borussia Monchengladbach ya Ujerumani
na kupata ushindi wa mabao 2-1 wakiwa
ugenini Ujerumani.
Mruguay huyo inaonekana akizungumza
kwa jazba wakati akipinga uamuzi wa
mwamuzi huyo na inaonekana alitukana au
kutumia lugha chafu.
Bado haijathibitika na ikiwa hivyo, basi
Suarez atakumbana na adhabu huku kukiwa
na kumbukumbu ya matukio kadhaa
aliyowahi kufanya yakiwemo yale ya
kuwauma mabeki.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top