0

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose
Mourinho amesema kuwa anahitaji muda zaidi ili
aweze kutengeneza kikosi cha ushindani Old
Trafford.
Katika michezo 10 ambayo timu hiyo imecheza
Mourinho anasema bado hajaweza kuridhika na
viwango vya baahi ya wachezaji hivyo anahitaji
muda zaidi wa kuwafahamu wachezaji wake
kwenye mazingira tofauti.
United inakabiliwa na ratiba ngumu mweszi huu.
Baada ya mchezo wake dhidi ya Stoke City
Jumapili, wiki mbili za michuano ya Kimataifa
zikimalizika United itachuana na Liverpool,
Fenerbahce, Chelsea na Manchester City katika
kipindi cha siku tisa pekee.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top