0

Sadio Mane aliyejiunga na Liverpool msimu huu
ameshafunga mabao matatu tangu kuanza kwa ligi
hiyo mapema mwezi uliopita na amewashinda
Kevin De Bryune wa Manchester City na Etienne
Capoue wa Wa Watford.
Jumla ya Kura 78,000 zilipigwa kupitia mtandao
wa Sky Sports, Mane akiibuka na ushindi wa kura
38,199 huku nyota wa Manchester City Kevin De
Bruyne akishika nafasi ya pili kwa kura 24,340
akifuatiwa na Kiungo wa Watford Etienne Capoue
alieshika nafasi ya tatu kwa kura 6nyota
Katika watu sita waliokuwa wakigombania nafasi
hiyo Diego Costa nafasi ya nne kwa kura 4,247
nafasi ya tano ikienda kwa Michael Antonio 3,116
wa West Ham United na wa mwisho ni Curtis
Davini wa Hull City aliyepata kura 1,837
Mchezaji huyo raia wa Senegal mwenye umri wa
miaka 24 ndiye mchezaji ghali kabisa toka bora la
Afrika baada ya uhamisho wake wa paundi milioni
41.2 kutoka Southampton katika dirisha la usajili
lililopita.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top