msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara
2017-18 baada ya kuvurunda msimu
huu, klabu ya Azam imeamua
kuwapandisha timu kubwa vijana wa
timu B.
Waliopandishwa ni walinzi wa kati
Abbas Kapombe (nahodha timu B),
Godfrey Elias na Mohamedi Omary
beki wa kulia.
Wengine ni Stanslausi Ladislausi
kiungo wa kati, Yahya Zaiid
mshambuliaji wa kati ambaye aliibuka
mfungaji bora msimu uliopita wa ligi
daraja la kwanza 2016-17 akiwa na
Ashanti United kwa mkopo.
Likizo ya Mwezi.
Klabu ya Azam imetoa likizo ya mwezi
mzima kwa wachezaji wake na
watarejea kambini rasmi tarehe 1 Julai
na kuanza mazoezi tarehe 3 Julai kwa
ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa
ligi kuu mwezi Agosti.

Chapisha Maoni