Nyota wa Argentina, Lionel Messi akimiliki mbele ya mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Kriketi wa Melbourne mjini Melbourne, Australia. Argentina ilishinda 1-0, bao pekee la Gabriel Mercado dakika ya 45
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni