0
Kiungo chipukizi wa Marseille ya Ufaransa, Andre-Frank Zambo Anguissa akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Cameroon bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei katika sare ya 1-1 na Australia usiku wa Alhamisi Uwanja Krestovskyi mjini St. Petersburg, Urusi katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Australia ilisawazisha kupitia kwa Mark Milligan kwa penalti dakika ya 60 

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top