Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Ujerumani usiku wa Alhamisi Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Ujerumani ilisawazisha kupitia kwa Lars Stindl dakika ya 41, lakini Sanchez amefanikiwa kuweka rekodi ya mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi kihistoria Chile akifikisha mabao 38 na kumpiku Marcelo Salas
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.