0
Baada ya kupanda daraja, klabu ya Huddersfield imemnasa mshambuliaji wa Porto, Laurent Depoitre kwa rekodi yake ya Pauni 3.5 milioni.
Klabu hiyo, Huddersfield imetangaza usajili na ujio wa mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji akitokea Porto.
Akiwa Porto alicheza mechi 10 pekee kutokana na kuumia. Kocha David Wagner amemsifu Depoitre kuwa mshambuliaji aliyekamilika.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 28 anafahamika kwa mfumo wake wa uchezaji wa nguvu, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo, Terriers.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top