0
Wakuu, nimekuta taarifa za kusikitisha kwa Watanzania wengi na mashabiki wengine wa msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya Diamond. Je kukosa kwake tuzo hizi ni kutotendewa haki kwa msanii huyu? Je Msanii kama Davido aliyechukua tuzo hizi kweli alimzidi vigezo msanii diamond? Je suala la lugha (communication barrier) huenda ndio limemuadhibu Diamond na kufanya majaji 'wasimkubali'? Je Pesa ya Msanii kama Davido huenda imekuwa na influence kama vile tunavyosikia ya Qatar kuhusu kombe la dunia? Nategemea mchango wenu!

Chapisha Maoni

 
Top