Picha za Rais Kikwete akiwa Msibani kwa Mzee Small kuwapa pole Wafiwa
Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani
kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata,
Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni
Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba. Wasanii wa Bongo Muvi, Shamsa Ford,
Shija Deogratius, Cathy na Sandra
wakiungana na waombolezaji. Rais Kikwete akiondoka baada ya kuwapa
pole wafiwa.
*************
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Rais Jakaya Kikwete amewasili nyumbani kwa
marehemu Mzee Small, Tabata, Mawenzi jijini
Dar na kutoa pole kwa wafiwa.
Baada ya kutoa pole Rais aliaga na kuondoka
huku akiacha umati wa waombolezaji
waliokuwa msibani hapo wakisubiri
kumpumzisha Mzee Small katika nyumba yake
ya milele
Chapisha Maoni