
Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.
“Najua nimemuumiza sana mama yangu, nachukua fursa hii kumuomba sana samahani kwa kuwa najua aliumia sana kutokana na habari
hiyo lakini nataka kumuambia kuwa mimi mtoto na nitaendelea kuwa mwanaye, anisamehe mama
yangu,” alisema Aunty Lulu.
Chapisha Maoni