0
Huyu ndio mtuhumiwa.
Alifika Nyumbani na kumlaghai mtoto
(jina tunalo)kwa pipi na kumuita uncle,
uncle Akamvuta mpaka vichakani na
kutaka kuanza kumlawiti. Mtoto alipoona
hivyo akaanza kupiga kelele na
kupambana na mtuhumiwa.
Muasi alikuwa tayari ameshavua nguo,
alipoona mtoto anapiga kelele akaanza
kumng'ata na meno mashavuni na
kumpiga na jiwe kwenye paji la uso.
Bahati nzuri, MUNGU saidia, kuna mama
alikuwa anashusha matofali akaskia kelele
hizo kabla ya tendo baya kufanyika.
Akaita watu wakamkuta mtuhumiwa
akiwa anaendelea kujaribu kumlawiti
mtoto huyo wa kiume. Alifanikiwa
kumwaga haja zake tu, ila hakufanikiwa
kumuingia kimwili.
Watu wenye hasira walimpa adhabu yake
na yeye, kabla Police hawajafika na
kumtia mbaroni..
Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu
ndio tabia yake, ila hii ndio ilikuwa
arobaini yake. Mitaa ya Mbezi ya Kimara,
amezunguka sana kuharibu watoto wa
watu.
Kila Nyumba akifika anauliza baba na
mama wapo?? akiambiwa tu hawapo
anaanza shughuli zake.Hivi sasa yuko
Hospitali ya TUMBI mahututi, akingojea
kusomewa mashtaka.
Kama kuna lolote la ziada tutaendelea
kufahamishana.




Sura ya mtoto imefichwa kutokana na
maadili.


Huyu ni mtoto mwenye umri wa miaka 8,
alikuwa nyumbani wakati wazazi wake
wote wakiwa hawapo, Alikuwa yeye na
kaka yake mwenye umri wa miaka
12.Ndipo swahibu lilipomkuta mpaka
kufanya aumizwe kiasi hiki .

Chapisha Maoni

 
Top