0
Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo(19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya mkoa wa Kagera
baada ya kulazwa hospitalini hapo bila kupata huduma ipasavyo, Kabla ya Kujinyonga aliacha ujumbe akisema si halali kwa mwanadamu kutibiwa kama mnyama. Jamani Hasira Hasara.

Chapisha Maoni

 
Top