Vitendo vya ngono nchini Uganda
vimesababish maambukizi makubwa ya
UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong
anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini
Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto
wawili wa kiume wenye umri wa miaka
14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu
na yeye!Aliwaingilia watoto hao
alipokwenda kuwatembelea wazazi wao
na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na
kuwashawishi bila aibu wamle uroda!
Ilitokea baba yao aliwasikia wanae
wakijadili juu ya "utamu" na ndipo
akaiarifu polis nao hawakuzubaa na
kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza
kufungwa miaka 7 au maisha!Mambo
Chapisha Maoni