TAMASHA la Serengeti Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Geita baada ya uongozi wa
Tamasha hilo kuamua kuwapa burudani hizo kwa mara ya kwanza na wakazi hao kuonyesha hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika ndani ya Ukumbi wa
Desire Park mkoani humo.
Chapisha Maoni