
Islamic State nchini Iraq na Syria.
Amesema kuwa wapiganaji hao wenye uhusiano na Al Qaeda walitumia fursa ya kutokuwepo serikali thabiti nchini Syria na kuongezewa nguvu zaidi na
vijana waliojiunga kupigania jihadi kutoka mataifa mengine.
Hata hivyo Obama amesema wapiganaji hao waliwahi kuvurumishwa huko Iraq na majeshi ya nchi yake yakishirikiana na kabila la Sunni.
Obama amekiri vyombo vya Ujasusi vya Marekani zilikadiria vibaya uwezo wa majeshi ya Iraq kupambana na wapiganaji wa kiislamu ambao wameteka maeneo mengi nchini humo.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.