0
Picha ya askari mwingine inayomuonesha akiwa kazini huku akiwa yupo viroba vya kutosha yani
kalewa sana kiasi ya kwamba hapo network imekata kabisa , Picha hii imezambaa kwenye mitandao na bado haijulikana ni askari wa wapi na
kituo gani ila uchunguzi bado unaendelea ili kuweka kila kitu wazi na iwe fundisho kwa Askari wengine wenye tabia kama hizi

Chapisha Maoni

 
Top