STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema hakuna ukweli wowote wa yeye kutanua na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu nchini Marekani, kwani alikutana naye ukumbini, akiwa amealikwa na blog iitwayo
Vijimambo ambayo hutangaza utalii wa
Tanzania nchini humo kila mwaka.
Alisema wakati wa safari yake hakuelewa lolote kuhusu Waziri Nyalandu na anashangazwa na
yanayozungumzwa hivi sasa kwani baada ya kumsalimia walipokutana,
hawakuwahi kuonana tena hadi aliporejea, kwani yeye alikuwa amepangiwa kwenye hoteli
ambayo pia ndiyo ukumbi wa shughuli hiyo ulipokuwa
Chapisha Maoni