
Mji wa Mubi ulio karibu na mpaka na Cameron ndio mji wa pili kwa ukubwa kwenye jimbo la Adamawa.
Mkaazi mmoja aliiambia BBC kuwa wenyeji wa eneo hilo kwa sasa wanaukimbia mji wa Mubi.
Mpema mwezi huu serikali ya Nigeria ilitangaza usitishaji wa mapigano na Boko Haram kwenye makubaliano ambayo yangesababisha kuachiliwa
kwa zaidi ya wasichana 200 wa shule waliotekwa nyara na kundi hilo.
Chapisha Maoni