0
Tujiangalie sana unapopata na hasira
kwa aji li ya mpenzi wako na kuchukua
maamuzi magumu sana katika jambo
ambalo limeshatendeka na hata ukifanya
ni ni halitaweza kurudi, cha msingi ni
kuangalia wapi mwenza wako kakosea
na kama imeshindikana ni bora uachane
naye kwa kheri kuliko kuaribiana
maisha, ingawa maumivu yapo na
yanauma ila tujali utu kuliko kufanya
unyama kama ulivyomkuta mwanadada
Paulina wa
pande za Nigeria aka Naija, ambaye
ali mwagiwa acid na mpenzi wake Mr.
Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa
jamaa alibahatika kukamatwa na
kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka
2010...Swali ni Je, m i aka kumi na
kumuaribu mwenzio namna hii
vinaendana?!

Chapisha Maoni

 
Top