Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli akikosa bao la wazi karibu na lango katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo wakitoa sare ya bila kufungana na Hull City Uwanja wa Anfield.LIVERPOOL YATOKA SARE YA 0-0 NA HULL ANFIELD
Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli akikosa bao la wazi karibu na lango katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo wakitoa sare ya bila kufungana na Hull City Uwanja wa Anfield.
Chapisha Maoni