0
Matokeo ya kura za wajumbe yanaendelea kutangazwa, 2/3 mpaka sasa inaongoza katika sura ambazo zimetajwa.
Theluthi mbili ya wajumbe toka Zanzibar na Bara wamepiga kura ya Ndio kuafiki Rasimu Inayopendekezwa, lakini bado matokeo yanaendelea kutangazwa.

Shangwe na vigelegele zimezuka bungeni.Tazama kinachoendelea hivi sasa katika Bunge la Katiba

Chapisha Maoni

 
Top