0
Kuna binti mmoja umri miaka 23 sasa ni miezi mitatu tangu nimtokee cha kushangaza hajaniomba hata mia tano ya vocha na ni mwanafunzi sasa nimueleweje maana kwangu imekuwa kama muujiza, hao wanaofanya kazi
tu tayari ni makamanda wa kikosi cha mizinga siku mbili tu ukiwa nae tayari atakuangushia jumba bovu
Binti ni mrembo sana na inaonekana anatoka familia ya kawaida sana ..Je Niwekeze hapa Kimoja naona dalili ya Mke mwema..Au bado
naliliwa Timing?

Chapisha Maoni

 
Top