Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes, ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia.
Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki juzi.
“RIP Batuli. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli
ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy na kwa nguvu za mungu tulifanikiwa,” ameandika Temba.
Chapisha Maoni